Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapana hakuna Kipya Kwetu.

Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu ksma walivyotuiga Simba Day.
Pia ni simba b mbona waliwapa kyombo? Mnajitoaga ufahamu eti? Wangekaza kwa kyombo mngempata?
 
Hiyo SBS ni kichaka cha kuchezea Tozo ***** hii nchi imeoza.
 
Taarifa kwa wapenzi na mashabiki wetu wa Singida Big Stars

#Letsplayers
#tukutaneligikuu
#MabingwaWatarajiwa
#SportpesaTanzania
#AzamTVUpdates
#WakulimaWa[emoji258][emoji258][emoji258]
IMG_20220810_082513.jpg
 
Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.

Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
Lopo lopo at work
 
Mbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.

Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
ona hili kolo lisivyo na akili . kwani Habibu kyombo mmemchukua wap?😂😂😂😂😂
 
Taarifa kwa wapenzi na mashabiki wetu wa Singida Big Stars

#Letsplayers
#tukutaneligikuu
#MabingwaWatarajiwa
#SportpesaTanzania
#AzamTVUpdates
#WakulimaWa[emoji258][emoji258][emoji258]View attachment 2319778
Huyu mchambuzi wa mchongo asiyejua hata kufua kanzu yake 😂😂😂😂 ana chuki na gubu juu ya yanga .
Kazi kwako majizo .
 
Simba walipewa Kiyombo Habibu pia
Simba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.

Ukiangalia kwa makini Singida ndio ameloose maana yule mkongo pale Yanga kwa sasa hawezi pata namba hivyo Yanga wamechukuwa kizuri na hao Singida wanapewa huyo alikosa namba ila kama Singida wataendelea hivi kuwatoa wachezaji wao wazuri huenda ikawakuta ya miaka ile
 
Singida big stars ni Yanga B tu
Watu wa singida hawajawahi kuwa na akili
Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.

Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
Mbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.

Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
Nakumbushia tu mmliki wa singida b star. Ni mshabiki lialia wa Yanga, kama itakuwa hivyo si ajabu kabisa. Kumbuka kipindi kile/ msimu
singida united inashuka daraja kwa sababu baadhi ya key player walipelekwa yanga.
Na baadhi ya kauli zake (mheshiwa) "alisema Yanga wangesema mapema wasingekuwa na shida". Baadae wadhamini wakaondoka na timu ikashuka daraja / madaraja.
Hebu mpunguze wivu basi! Mbona na nyinyi mliuziwa Habib Kiyombo baada ya kupanda dau? Iweje nongwa kwa Yanga kufanya mabadilishano na huyo Mbrazil?

Halafu mbona mnasahau mapema hivi! Kipindi kile mmiliki wa Azam FC, na ambaye ni mwanachama wa simba! Alishawahi pia kuwa kiongozi wenu miaka ya nyuma;

alipowapa wachezaji takribani wanne kwa mkupuo (Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni na John Bocco) kiasi cha kuwafanya muwe mabingwa kwa miaka minne mfululizo! Tulimsema kwa namna yoyote ile?

Let us be fair sometimes. Mwigulu Nchemba hana tofauti na mmiliki wa Azam FC.
 
Simba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.

Ukiangalia kwa makini Singida ndio ameloose maana yule mkongo pale Yanga kwa sasa hawezi pata namba hivyo Yanga wamechukuwa kizuri na hao Singida wanapewa huyo alikosa namba ila kama Singida wataendelea hivi kuwatoa wachezaji wao wazuri huenda ikawakuta ya miaka ile
Shida yako ni kubadilishana, au kununua? Unayajua hayo makubaliano ya mkataba wao wa kubadilishana?
 
Simba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.

Ukiangalia kwa makini Singida ndio ameloose maana yule mkongo pale Yanga kwa sasa hawezi pata namba hivyo Yanga wamechukuwa kizuri na hao Singida wanapewa huyo alikosa namba ila kama Singida wataendelea hivi kuwatoa wachezaji wao wazuri huenda ikawakuta ya miaka ile
Wamebadilishana wapi? hio deal imefanyika lini tupe reliable source
 
Kazumari ni nani pale Singida official Twitter yao imekanusha yeye ndio CEO?
Kazumari ni mwandishi wa habari ukitaka maelezo nenda kwenye page yake utayakuta maelezo yake tetesi katika mpira lazima ziwepo ila zinaweza kuwa za kweli au si kweli hivyo hakuna haja ya kupanic unatakiwa uwe mpole uone kinachotokea
 
Yanga mbona kama hawajiamini, si tulikubaliana kuwa tumemaliza usajili. Kipigo kinewazuzua yanga
Winga tulikua bado hatujampata,kipigo kipi?unaongelea bonanza la juzi?kwa sasa bado timu hazijaamka mipira mizuri tutaanza kuiona baada ya miezi miwili mitatu ijayo...hata dearby nzuri ni ile ya oktoba 23 wala si hii ya jumamosi
Kwa sie tunaejua soka

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
ona hili kolo lisivyo na akili . kwani Habibu kyombo mmemchukua wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza mihemko, huyo Kyombo mwenyewe aliwaomba Singida Big Starz wamuache aende Simba SC timu kubwa Tanzania,ndio wakaona aibu wakamuachia, walijua hata kama wangemgomea Simba SC tusingekuwa na hasara yoyote.
 
Back
Top Bottom