Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Pia ni simba b mbona waliwapa kyombo? Mnajitoaga ufahamu eti? Wangekaza kwa kyombo mngempata?Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapana hakuna Kipya Kwetu.
Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu ksma walivyotuiga Simba Day.
Lopo lopo at workWenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.
Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
ona hili kolo lisivyo na akili . kwani Habibu kyombo mmemchukua wap?😂😂😂😂😂Mbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.
Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
Huyu mchambuzi wa mchongo asiyejua hata kufua kanzu yake 😂😂😂😂 ana chuki na gubu juu ya yanga .Taarifa kwa wapenzi na mashabiki wetu wa Singida Big Stars
#Letsplayers
#tukutaneligikuu
#MabingwaWatarajiwa
#SportpesaTanzania
#AzamTVUpdates
#WakulimaWa[emoji258][emoji258][emoji258]View attachment 2319778
Simba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.Simba walipewa Kiyombo Habibu pia
Singida big stars ni Yanga B tu
Watu wa singida hawajawahi kuwa na akili
Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.
Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
Mbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.
Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
Hebu mpunguze wivu basi! Mbona na nyinyi mliuziwa Habib Kiyombo baada ya kupanda dau? Iweje nongwa kwa Yanga kufanya mabadilishano na huyo Mbrazil?Nakumbushia tu mmliki wa singida b star. Ni mshabiki lialia wa Yanga, kama itakuwa hivyo si ajabu kabisa. Kumbuka kipindi kile/ msimu
singida united inashuka daraja kwa sababu baadhi ya key player walipelekwa yanga.
Na baadhi ya kauli zake (mheshiwa) "alisema Yanga wangesema mapema wasingekuwa na shida". Baadae wadhamini wakaondoka na timu ikashuka daraja / madaraja.
Shida yako ni kubadilishana, au kununua? Unayajua hayo makubaliano ya mkataba wao wa kubadilishana?Simba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.
Ukiangalia kwa makini Singida ndio ameloose maana yule mkongo pale Yanga kwa sasa hawezi pata namba hivyo Yanga wamechukuwa kizuri na hao Singida wanapewa huyo alikosa namba ila kama Singida wataendelea hivi kuwatoa wachezaji wao wazuri huenda ikawakuta ya miaka ile
Wamebadilishana wapi? hio deal imefanyika lini tupe reliable sourceSimba hawakupewa ila walimnunua kutoka Singida ila Yanga wanabadilishana na Jesus Yanga wanamchukuwa mzungu na Singida wanapewa yule mkongo.
Ukiangalia kwa makini Singida ndio ameloose maana yule mkongo pale Yanga kwa sasa hawezi pata namba hivyo Yanga wamechukuwa kizuri na hao Singida wanapewa huyo alikosa namba ila kama Singida wataendelea hivi kuwatoa wachezaji wao wazuri huenda ikawakuta ya miaka ile
Hiyo taarifa wengi wameipata kutoka kwa kazumari nenda katika page yake utafute utaipataWamebadilishana wapi? hio deal imefanyika lini tupe reliable source
Hoja yako ni ipi hapo?Shida yako ni kubadilishana, au kununua? Unayajua hayo makubaliano ya mkataba wao wa kubadilishana?
Kazumari ni nani pale Singida official Twitter yao imekanusha yeye ndio CEO?Hiyo taarifa wengi wameipata kutoka kwa kazumari nenda katika page yake utafute utaipata
Kazumari ni mwandishi wa habari ukitaka maelezo nenda kwenye page yake utayakuta maelezo yake tetesi katika mpira lazima ziwepo ila zinaweza kuwa za kweli au si kweli hivyo hakuna haja ya kupanic unatakiwa uwe mpole uone kinachotokeaKazumari ni nani pale Singida official Twitter yao imekanusha yeye ndio CEO?
Kama timu mbili zimekubaliana kubadilishana wachezaji, shida iko wapi? Maana hakuna tofauti na timu mbili hizo hizo kuamua kuuziana wachezaji.Hoja yako ni ipi hapo?
Fafanua ili tujadili
Hakuna shida hapoKama timu mbili zimekubaliana kubadilishana wachezaji, shida iko wapi? Maana hakuna tofauti na timu mbili hizo hizo kuamua kuuziana wachezaji.
Lile ni tawi letu..tulia wewe yanga hii acha kabisaKwa hiyo Singida Stars wao ndio wakupokea vibovu?
Winga tulikua bado hatujampata,kipigo kipi?unaongelea bonanza la juzi?kwa sasa bado timu hazijaamka mipira mizuri tutaanza kuiona baada ya miezi miwili mitatu ijayo...hata dearby nzuri ni ile ya oktoba 23 wala si hii ya jumamosiYanga mbona kama hawajiamini, si tulikubaliana kuwa tumemaliza usajili. Kipigo kinewazuzua yanga
Punguza mihemko, huyo Kyombo mwenyewe aliwaomba Singida Big Starz wamuache aende Simba SC timu kubwa Tanzania,ndio wakaona aibu wakamuachia, walijua hata kama wangemgomea Simba SC tusingekuwa na hasara yoyote.ona hili kolo lisivyo na akili . kwani Habibu kyombo mmemchukua wap?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]