ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Huyu si mzungu ni mwafrika mwenzetu mbrazil ni kama Neymar tu...sasa utasema Neymar ni mzungu?Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.
Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
Hapana, Mwigulu na mmiliki wa Azam FC wana tofauti kubwa sana, sijawahi kumuona huyo mmiliki wa Azam FC popote akipiga kelele yeye ni fan wa Simba SC, kama Mwigulu anavyofanya..Hebu mpunguze wivu basi! Mbona na nyinyi mliuziwa Habib Kiyombo baada ya kupanda dau? Iweje nongwa kwa Yanga kufanya mabadilishano na huyo Mbrazil?
Halafu mbona mnasahau mapema hivi! Kipindi kile mmiliki wa Azam FC, na ambaye ni mwanachama wa simba! Alishawahi pia kuwa kiongozi wenu miaka ya nyuma;
alipowapa wachezaji takribani wanne kwa mkupuo (Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni na John Bocco) kiasi cha kuwafanya muwe mabingwa kwa miaka minne mfululizo! Tulimsema kwa namna yoyote ile?
Let us be fair sometimes. Mwigulu Nchemba hana tofauti na mmiliki wa Azam FC.
😂😂😂 kyombo kwenda kwa makolo kumbe aliomba 😂😂😂. Ila yanga kumsajiri mchezaji wa singida stars nongwa 😂😂Punguza mihemko, huyo Kyombo mwenyewe aliwaomba Singida Big Starz wamuache aende Simba SC timu kubwa Tanzania,ndio wakaona aibu wakamuachia, walijua hata kama wangemgomea Simba SC tusingekuwa na hasara yoyote.
Lakini baadhi ya hizo sifa si zilikuwa na ukweli Bwashee! Mfano za kuwa Mabingwa wa Ngao ya Jamii, Mabingwa wa Ligi kuu, na pia Mabingwa wa kombe la Shirikisho la Azam!Hapana, Mwigulu na mmiliki wa Azam FC wana tofauti kubwa sana, sijawahi kumuona huyo mmiliki wa Azam FC popote akipiga kelele yeye ni fan wa Simba SC, kama Mwigulu anavyofanya..
Juzi wakati akisoma bajeti bungeni, maneno ya kuisifia Yanga SC yalikuwa mengi zaidi ya mambo yanayohusu wizara yake, yule ni mnazi aliyepitiliza.
Sioni tatizo lolote juu ya hilo Kama litatokea, na wala sio mada ya kujadili hapa, makubaliano ya mikataba ya wachezaji husika yanahusu klabu na klabu sioni shida hapoHayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
View attachment 2319554
Kyombo alisaini sehemu mbili kwa tamaa kwa hiyo kwa vyovyote ilikuwa lazima aiachie moja, huyu anahamishwaPia ni simba b mbona waliwapa kyombo? Mnajitoaga ufahamu eti? Wangekaza kwa kyombo mngempata?
Kwani ni Kosa kisheria kumiliki timu ya mpira watanzania tunashida kubwa sanaMbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.
Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
Kama timu mbili zimekubaliana kubadilishana wachezaji, shida iko wapi? Maana hakuna tofauti na timu mbili hizo hizo kuamua kuuziana wachezaji.
Ata akiamishwa kosa liko wapi kama wameafikiana kufanya biashara?Kyombo alisaini sehemu mbili kwa tamaa kwa hiyo kwa vyovyote ilikuwa lazima aiachie moja, huyu anahamishwa
Mi sielewi ata hoja yenu ni ipi apo, Singida Kama wamefanya biashara ya mchezaji na yanga kuna tatizo gani apo? Mchezaji auzwe na singida alafu povu liwatoke wengine ni maajabu ya mwaka aya!!!Hapana, Mwigulu na mmiliki wa Azam FC wana tofauti kubwa sana, sijawahi kumuona huyo mmiliki wa Azam FC popote akipiga kelele yeye ni fan wa Simba SC, kama Mwigulu anavyofanya..
Juzi wakati akisoma bajeti bungeni, maneno ya kuisifia Yanga SC yalikuwa mengi zaidi ya mambo yanayohusu wizara yake, yule ni mnazi aliyepitiliza.
Huu ni mtazamo wako bila shaka. Na siyo mtazamo wa timu husika.Yaani unipe kokoto nikupe dhahabu????c undezi huo au????
Hawa watu wana shida mpaka basi. Wanaumia utafikiri wana hisa kwenye hiyo timu ya Singida Big Stars!Mi sielewi ata hoja yenu ni ipi apo, Singida Kama wamefanya biashara ya mchezaji na yanga kuna tatizo gani apo? Mchezaji auzwe na singida alafu povu liwatoke wengine ni maajabu ya mwaka aya!!!
Una uhakika alisaini sehemu mbili? Maana sisi tulimuona kwa mara ya kwanza akitambulishwa Singida Big Stars!Kyombo alisaini sehemu mbili kwa tamaa kwa hiyo kwa vyovyote ilikuwa lazima aiachie moja, huyu anahamishwa
Hapana, tatizo la mahaba ya Mwigulu kwa Yanga SC yameanzia enzi zilee za Fei Toto hata mwaka siukumbuki!Lakini baadhi ya hizo sifa si zilikuwa na ukweli Bwashee! Mfano za kuwa Mabingwa wa Ngao ya Jamii, Mabingwa wa Ligi kuu, na pia Mabingwa wa kombe la Shirikisho la Azam!
Yaani ni sawa na mimi hapa nikiamua kumsifia hadharani Irene Uwoya kama mwanamke mzuri na mrembo! Utasema nimepitiliza kumpa hizo sifa?
Hiyo biashara unayo risiti utuwekee hapa?Mi sielewi ata hoja yenu ni ipi apo, Singida Kama wamefanya biashara ya mchezaji na yanga kuna tatizo gani apo? Mchezaji auzwe na singida alafu povu liwatoke wengine ni maajabu ya mwaka aya!!!
Kama ni yule mwenye jezi no. 5 basi basi wafanye fasta...anaupiga mwingi yule. Wasipompiga misumali atawasaidiaHayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
View attachment 2319554
Sasa ndio umeandika nini?Sioni tatizo lolote juu ya hilo Kama litatokea, na wala sio mada ya kujadili hapa, makubaliano ya mikataba ya wachezaji husika yanahusu klabu na klabu sioni shida hapo
Kwaiyo unatakaje jinyonge basi kupinga hilo jambo kwa msistizoHiyo biashara unayo risiti utuwekee hapa?
Uwezi kuelewa kwa kuwa Rage alishawalaani,,akili zenu mnazijua wenyeweSasa ndio umeandika nini?