Yanga na teams zote za ligi kataeni huu upuuzi

nmeandika kwa kifupi sababu hamna mpenda soka wa TZ ambaye hajui madudu ya ligi yetu...kuanzia bodi ya ligi, upanga fixture na kubadili fixture...waamuzi rushwa plus uwezo mdogo nk
Kwa maoni yangu, siku nyingine ukiandika mada, jaribu kutoa hoja na mifano hai, ili tuelewe unachozungumzia, maana umelaumu TFF, bodi ya ligi na chama cha marefa, bila kusema hata kitu kimoja walichokosea.
 
habar mm ni mgeni jamii forum nan anaweza nielekeza namna ya kutumia tandao huu
 
Leta ratiba yenye viporo 23
 
Kwa ligi ya Bongo unajua ni timu ngapi zimeshuka daraja hadi sasa?

Na je wakati wa kucheza viporo hivi ni timu ngapi zilikuwa zimeshuka daraja na zipi zilikuwa safe katika kushika daraja ukiondoa Simba, Azam na Yanga?

Huoni kwamba kama timu zote zilikuwa na wasiwasi wa kushuka daraja mechi za Simba za viporo ndiyo zingekuwa ngumu zaidi?
 
Hoja ni kwamba TFF wanaibeba Simba..
Vipi FA cup , vipi SportPesa, Mapinduzi cup nani kabebwa?
Aliyebebwa mtaje tu.... Akibebwa mmoja huku mwingine hatakiwi kuona ni sawa yeye kubebwa Kwa vile tu mwingine alibebwa kule...

Nijibu tu kwamba umewahi ona viporo 12 kwa timu moja?
 
Mtibwa,KMC,Lipuli,Ndanda kwa mechi zilizobaki hata wangefungwa poa tu
 
Kwa hiyo niaka yote Yanga aliyochukua ubingwa kumbe ubingwa wake ni batili.
 
Aliyebebwa mtaje tu.... Akibebwa mmoja huku mwingine hatakiwi kuona ni sawa yeye kubebwa Kwa vile tu mwingine alibebwa kule...
Nijibu tu kwamba umewahi ona viporo 12 kwa timu moja?
Ile kauli ya kila mtu ashinde mechi zake ndio jibu lako... kakate rufaa
 
nmeandika kwa kifupi sababu hamna mpenda soka wa TZ ambaye hajui madudu ya ligi yetu...kuanzia bodi ya ligi, upanga fixture na kubadili fixture...waamuzi rushwa plus uwezo mdogo nk
TFF ya Malinzi unaijua.. mlitamba sana leo mnalia hovyo
 
Yanga ni wehu. Mara wanasema Simba inabebwa mara inanunua mechi. Lakini aliyechukua hela kwenye hela kwenye game yao na Simba hawamtaji. Kama yanga amefungwa kihalali kwanini Azam asifungwe? Kwanini mtibwa asifungwe? Kwanini coastal asifungwe?
 
Zile ni ligi zao na hii ni ligi yetu. Kama vipi kacheze ligi zao ambazo hazina viporo
 
Kupanga matokeo inawezekana hata bila viporo
 
Ili kusaidia Simba isiwe bingwa,nyinyi Yanga mngeifunga Simba kwa mechi zote,timu angalau Azam FC na Mtibwa ingeifunga Simba mechi zote. Haya nyinyi wenyewe mmeshindwa halafu mnataka Biashara United aweze. Mnatumia matako kufikiri?
 
Mkuu mlegezee !!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…