Yanga na teams zote za ligi kataeni huu upuuzi

nmeandika kwa kifupi sababu hamna mpenda soka wa TZ ambaye hajui madudu ya ligi yetu...kuanzia bodi ya ligi, upanga fixture na kubadili fixture...waamuzi rushwa plus uwezo mdogo nk
Kwa maoni yangu, siku nyingine ukiandika mada, jaribu kutoa hoja na mifano hai, ili tuelewe unachozungumzia, maana umelaumu TFF, bodi ya ligi na chama cha marefa, bila kusema hata kitu kimoja walichokosea.
 
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa

Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.

Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.

habar mm ni mgeni jamii forum nan anaweza nielekeza namna ya kutumia tandao huu
 
Malalamiko haya ni halali, hakuna ligi duniani kote timu moja iwe na viporo 23 huku zingine zimebaki na mechi 5. Huu ukikuwa mpango wa TFF kuiwezesha Simba. Faida ya viporo 23 ni kufanya biashara kwa timu ambazo hazina matumaini ya kuchukua ubingwa wala kushuka daraja kuuza mechi. TFF imulikwe kwa hili.
Leta ratiba yenye viporo 23
 
Kwa ligi ya Bongo unajua ni timu ngapi zimeshuka daraja hadi sasa?

Na je wakati wa kucheza viporo hivi ni timu ngapi zilikuwa zimeshuka daraja na zipi zilikuwa safe katika kushika daraja ukiondoa Simba, Azam na Yanga?

Huoni kwamba kama timu zote zilikuwa na wasiwasi wa kushuka daraja mechi za Simba za viporo ndiyo zingekuwa ngumu zaidi?
Viporo vina uhusiano na kupanga matokeo na timu ambayo imebakiza mechi moja imeshashuka au haina uwezo wa kubeba Ubingwa wala kushuka na imebaki mechi moja wakati wewe bado mechi 9,Reasoning y a mikia wengi inafanana so Rage aliwafahamu vizuri tu
Nikuulize kulikua na sababu gani hadi mechi 6 zimebaki ligi iishe ila Simba hajacheza na Mtibwa mechi ya raundi ya kwanza (Yaani kwenye mechi 6,mbili atacheza na Mtibwa) same to Yanga na Azam uliona ligi ya wapi hayo
 
Hoja ni kwamba TFF wanaibeba Simba..
Vipi FA cup , vipi SportPesa, Mapinduzi cup nani kabebwa?
Aliyebebwa mtaje tu.... Akibebwa mmoja huku mwingine hatakiwi kuona ni sawa yeye kubebwa Kwa vile tu mwingine alibebwa kule...

Nijibu tu kwamba umewahi ona viporo 12 kwa timu moja?
 
Kwa ligi ya Bongo unajua ni timu ngapi zimeshuka daraja hadi sasa?

Na je wakati wa kucheza viporo hivi ni timu ngapi zilikuwa zimeshuka daraja na zipi zilikuwa safe katika kushika daraja ukiondoa Simba, Azam na Yanga?

Huoni kwamba kama timu zote zilikuwa na wasiwasi wa kushuka daraja mechi za Simba za viporo ndiyo zingekuwa ngumu zaidi?
Mtibwa,KMC,Lipuli,Ndanda kwa mechi zilizobaki hata wangefungwa poa tu
 
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa

Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.

Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Kwa hiyo niaka yote Yanga aliyochukua ubingwa kumbe ubingwa wake ni batili.
 
Aliyebebwa mtaje tu.... Akibebwa mmoja huku mwingine hatakiwi kuona ni sawa yeye kubebwa Kwa vile tu mwingine alibebwa kule...
Nijibu tu kwamba umewahi ona viporo 12 kwa timu moja?
Ile kauli ya kila mtu ashinde mechi zake ndio jibu lako... kakate rufaa
 
nmeandika kwa kifupi sababu hamna mpenda soka wa TZ ambaye hajui madudu ya ligi yetu...kuanzia bodi ya ligi, upanga fixture na kubadili fixture...waamuzi rushwa plus uwezo mdogo nk
TFF ya Malinzi unaijua.. mlitamba sana leo mnalia hovyo
 
Yanga ni wehu. Mara wanasema Simba inabebwa mara inanunua mechi. Lakini aliyechukua hela kwenye hela kwenye game yao na Simba hawamtaji. Kama yanga amefungwa kihalali kwanini Azam asifungwe? Kwanini mtibwa asifungwe? Kwanini coastal asifungwe?
 
Fuatilia timu za wenzetu ,ligi yao yule anayeshiriki UEFA na asiyeshiriki idadi ya michezo ni sawa hakuna viporo,sasa Simba viporo 23 timu zingine zimebaki na mechi 5. Hapa ilipangwa muvi ya timu ambazo hazina matumaini ya ubingwa wala kushuka daraja kufanya biashara na Simba. Huu ulikuwa mpango wa TFF na Simba, viporo 23!
Zile ni ligi zao na hii ni ligi yetu. Kama vipi kacheze ligi zao ambazo hazina viporo
 
Viporo vina uhusiano na kupanga matokeo na timu ambayo imebakiza mechi moja imeshashuka au haina uwezo wa kubeba Ubingwa wala kushuka na imebaki mechi moja wakati wewe bado mechi 9,Reasoning y a mikia wengi inafanana so Rage aliwafahamu vizuri tu
Nikuulize kulikua na sababu gani hadi mechi 6 zimebaki ligi iishe ila Simba hajacheza na Mtibwa mechi ya raundi ya kwanza (Yaani kwenye mechi 6,mbili atacheza na Mtibwa) same to Yanga na Azam uliona ligi ya wapi hayo
Kupanga matokeo inawezekana hata bila viporo
 
Ili kusaidia Simba isiwe bingwa,nyinyi Yanga mngeifunga Simba kwa mechi zote,timu angalau Azam FC na Mtibwa ingeifunga Simba mechi zote. Haya nyinyi wenyewe mmeshindwa halafu mnataka Biashara United aweze. Mnatumia matako kufikiri?
 
Mkuu mlegezee !!..
 
Back
Top Bottom