Yanga nambari wani kwa online engagements katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Bila mbeleko wala maelekezo toka juu,

Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September

Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa

Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia

Mafanikio bila mbeleko yanawezekana
Screenshot_20231009-190634~2.png
Screenshot_20231009-190657~2.png
 
Unajua hiyo imetokana na nini?

Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa.

Hata hapa JF watu tulijadili sana kundi lenu kuliko Simba unajua ni kwanini?

Chukua na hii.

Na hata baada ya mechi yenu na Al Ahly mtaenda viral tena. Kwasababu story kubwa katika siku hiyo itakuwa "imekuwaje timu iliyocheza fainali shirikisho imekubali kichapo cha goli 5"
 
Kumbe za kusadikika

Naoana unatutabiria kabisa na matokeo ya mechi,aahaaa

Naona umeandika goli tano,

Ila na nyie si mligongeshwa goli tano na hao hao,au umesahau?
 
Unajua hiyo imetokana na nini?

Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa....
Wewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja?

Aly ahly ashapigwa na yanga kwa mkapa na kule kwao wakaiondoa yanga kwa matuta kwa tabu sana wakati said bahanuzi akikosa penalti ya maamuzi!

Simbwa ilipochakazwa goli 5bila na Aly ahly usifikili Kila timu Iko unga Kama nyie, mtaonyeshwa namna ya kucheza kubwa na Aly ahly atachapika Kama kawa
 
Wewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja? Aly ahly ashapigwa na yanga kwa mkapa na kule kwao wakaiondoa yanga kwa matuta kwa tabu sana wakati said bahanuzi akikosa penalti ya maamuzi!
Simbwa ilipochakazwa goli 5bila na Aly ahly usifikili Kila timu Iko unga Kama nyie, mtaonyeshwa namna ya kucheza kubwa na Aly ahly atachapika Kama kawa
Nashukuru Kwa kumnyoosha,ahaaaaa
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Wewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja?

Aly ahly ashapigwa na yanga kwa mkapa na kule kwao wakaiondoa yanga kwa matuta kwa tabu sana wakati said bahanuzi akikosa penalti ya maamuzi!

Simbwa ilipochakazwa goli 5bila na Aly ahly usifikili Kila timu Iko unga Kama nyie, mtaonyeshwa namna ya kucheza kubwa na Aly ahly atachapika Kama kawa
Kwani simba hajawahi kukuchapa 5 bila hapo kwa mkapa au 2012 ulikua bado hujazaliwa ?
 
Simba pia alishatandikwa goli 5-0 na Yanga Julai 1 1968 magoli ya Maulid Dilunga 2 Salehe Zimbwe 2 na Kitwana Manara 1.
Kawadanganye watoto wenzio huko, weka video
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Hapo nilipobold na kukolezea rangi usiyasahau na MASIMBA maana ni ukoo mmoja
 
Bila mbeleko wala maelekezo toka juu,

Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September

Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa

Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia

Mafanikio bila mbeleko yanawezekanaView attachment 2777012View attachment 2777013
1696879275117.png

1696879322798.png
 
Back
Top Bottom