Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu katika ubora aliousema RAGE.Unajua hiyo imetokana na nini?
Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa.
Hata hapa JF watu tulijadili sana kundi lenu kuliko Simba unajua ni kwanini?
Chukua na hii.
Na hata baada ya mechi yenu na Al Ahly mtaenda viral tena. Kwasababu story kubwa katika siku hiyo itakuwa "imekuwaje timu iliyocheza fainali shirikisho imekubali kichapo cha goli 5"