Unajua hiyo imetokana na nini?
Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa..
Kumbe za kusadikikaUnajua hiyo imetokana na nini?
Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa.
Hata hapa JF watu tulijadili sana kundi lenu kuliko Simba unajua ni kwanini?
Chukua na hii.
Na hata baada ya mechi yenu na Al Ahly mtaenda viral tena. Kwasababu story kubwa katika siku hiyo itakuwa "imekuwaje timu iliyocheza fainali shirikisho imekubali kichapo cha goli 5"
Wewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja?Unajua hiyo imetokana na nini?
Ni kwasababu ya Group D ambalo mlipangwa....
Nashukuru Kwa kumnyoosha,ahaaaaaWewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja? Aly ahly ashapigwa na yanga kwa mkapa na kule kwao wakaiondoa yanga kwa matuta kwa tabu sana wakati said bahanuzi akikosa penalti ya maamuzi!
Simbwa ilipochakazwa goli 5bila na Aly ahly usifikili Kila timu Iko unga Kama nyie, mtaonyeshwa namna ya kucheza kubwa na Aly ahly atachapika Kama kawa
Kwani simba hajawahi kukuchapa 5 bila hapo kwa mkapa au 2012 ulikua bado hujazaliwa ?Wewe kweli ni mnyoo nimekubali Kama ilivyo avatar yako, Kaangalie vizuri rekodi ya yanga na Aly ahly ni lini Yanga aliwai kufungwa zaidi ya goli mbili moja?
Aly ahly ashapigwa na yanga kwa mkapa na kule kwao wakaiondoa yanga kwa matuta kwa tabu sana wakati said bahanuzi akikosa penalti ya maamuzi!
Simbwa ilipochakazwa goli 5bila na Aly ahly usifikili Kila timu Iko unga Kama nyie, mtaonyeshwa namna ya kucheza kubwa na Aly ahly atachapika Kama kawa
Kawadanganye watoto wenzio huko, weka videoSimba pia alishatandikwa goli 5-0 na Yanga Julai 1 1968 magoli ya Maulid Dilunga 2 Salehe Zimbwe 2 na Kitwana Manara 1.
Hapo nilipobold na kukolezea rangi usiyasahau na MASIMBA maana ni ukoo mmoja"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Bila mbeleko wala maelekezo toka juu,
Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September
Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa
Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia
Mafanikio bila mbeleko yanawezekanaView attachment 2777012View attachment 2777013
Ahaaaa!Ziweke wewe hizo stori za kuukweka