Bwana mdogo, acha nikupe facts Hapa ili twende sawa:
1. Level ya Mpira katika makundi Yanga ilikuwa ya 3 huku Al ahly ya 1 na CRB ya 2. Lakini sisi wa 3, tumefuzu tukiwa na Game 1 mkononi. Je, nyie mliokua na level 2 mmefuzu vipi?
2. Magoal mengi ya kufungwa. Ni kweli tumefungwa mengi. Lakini tumefunga pia mangapi? Goal difference iko +.
3. Goli nyingi za kufungwa. Yes, CRB ndio chanzo cha sisi kufungwa goli nyingi, lakini rematch tumewafunga 4, i.e +1. Kwamba CRB walichezesha Team B, nikusaidie bwana mdogo, dak 90 zile, Team A Players karibu wote waliingia so tumewafunga both Team A na B. Pia chanzo cha wao kutupiga 3, ni tulikua na kipa wa Team B na wrong game approach ya Gamondi na sio ubovu.
Simba kwa level ya CAF stastistically, mko juu kuliko Sisi, the fact that uko na mawazo ya kufanya ulinganisho na sisi, basi ujue tumewasuprise.
NB; Team kubwa duniani kote, kwenye makundi hufuzu mapema.