Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

As long as ni robo fainali basi hakuna mbovu.

Mbovu ni yule ambaye hayupo kabisa hiyo robo fainali.
 
Sawa ni dhaifu sijui kwanini kwenye ligi dhaifu yupo juu yako, na mlipo kutana yalitokea maafa
Hiyo siyo sababu mkuu. Kwani TRA Kilimanjaro ni sawa na Jwaneng kwasbabu wote wamefungwa sita?

Mambo hayaendi hivyo mkuu.
 
Yanga mbovu sana ilimpiga kolo 5 ingekua timu kali kolo angekula 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ukiwafunga makolo ndo unakuwa bora??

Makolo ndo kipimo cha ubora au sio??
 
Tajiri wa Tanzanite haujui Mpira ndio maana Arusha hakuna hata Timu moja ligi kuu kwa kuwa wengi mpo busy na Tanzanite harafu mnataka kuzungumzia mpira kwa Theory tu...
 
Tarehe 12 draw itachezeshwa,kila timu itaonyesha ilichonacho,basi..... haya makelele inaprove umbumbu aliousema Rage
 
Sio mbovu sema underdog Kwa sababu Haina uzoefu kulinganisha na hao wengine
Tuombe Simba na Yanga zote ziingie Semi final (kama itawezekana) halafu zikutane zenyewe tumalize ubishi. Kichaka cha robo fainali kimefyekwa ndiyo maana watu wanapagawa. Tusubiri hatua ya kuingia semi final itatupa majibu.
 
Msafara wa Mamba kenge hawakosi
FB_IMG_1711867176488.jpg
 
Hapo vip!!

Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.

Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:

1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.

2. Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.

3. Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.

4. Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2, hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.

5. Wanaomba wakutane na ASEC kwasababu ya ubovu wao.
Ujiiiinga, ujinga, ujinga, ujinga mtupu
 
Mimi ni Simba, ila sisi ndio timu mbovu kwenye hatua ya robo. Hatuna striker kabisa, na hiyo ni hatua ngumu, nafasi zinakuwa chache ukishindwa kutumia mwenzako anatumia.

Wale mastriker urefu tu ila ni kichekesho, aliyesimamia usajili wao ni tapeli kapiga hela ya juu.

Mara 10 wangebaki Baleke na Phiri.
Uliona mbali
 
Mmeanza news za KIPUMBAVU jaribuni kubadirika kifikra. Timu zote kutoka Tanzania ni MBOVU, tufurahi kwa pamoja kwa hatua zilipo kuingiza timu mbili nifuraha kwa Tanzania na mchezo wa soka, Ila kila kukicha nyuzi za kipumbavu tuu mawazo yakipumnbavu tuu mkue kiakili badirikeni wapuuzi nyie, kutumia ID fake isiwe chanzo cha mawazo yakipumbavu Kama haya.
Kama hajasikia na hapa labda atamsikiliza babu yake akifufuka.
 
Back
Top Bottom