Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

As long as ni robo fainali basi hakuna mbovu.

Mbovu ni yule ambaye hayupo kabisa hiyo robo fainali.
 
Sawa ni dhaifu sijui kwanini kwenye ligi dhaifu yupo juu yako, na mlipo kutana yalitokea maafa
Hiyo siyo sababu mkuu. Kwani TRA Kilimanjaro ni sawa na Jwaneng kwasbabu wote wamefungwa sita?

Mambo hayaendi hivyo mkuu.
 
Yanga mbovu sana ilimpiga kolo 5 ingekua timu kali kolo angekula 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ukiwafunga makolo ndo unakuwa bora??

Makolo ndo kipimo cha ubora au sio??
 
Tajiri wa Tanzanite haujui Mpira ndio maana Arusha hakuna hata Timu moja ligi kuu kwa kuwa wengi mpo busy na Tanzanite harafu mnataka kuzungumzia mpira kwa Theory tu...
 
Tarehe 12 draw itachezeshwa,kila timu itaonyesha ilichonacho,basi..... haya makelele inaprove umbumbu aliousema Rage
 
Sio mbovu sema underdog Kwa sababu Haina uzoefu kulinganisha na hao wengine
Tuombe Simba na Yanga zote ziingie Semi final (kama itawezekana) halafu zikutane zenyewe tumalize ubishi. Kichaka cha robo fainali kimefyekwa ndiyo maana watu wanapagawa. Tusubiri hatua ya kuingia semi final itatupa majibu.
 
Ujiiiinga, ujinga, ujinga, ujinga mtupu
 
Uliona mbali
 
Kama hajasikia na hapa labda atamsikiliza babu yake akifufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…