Sakho mlimuuza bei gani? Hamkawii kugomea mechi nyie,safarii hii Zanzibar.Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonda Shabani, umechemsha ila wengine sawa. Kwa miaka mingi Yanga walikuwa wagumu sana kuachia wachezaji wao.Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Samatta katokea MazembeSamatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Hatari sanaPia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Nonga Shaban ni Nonda Shaba au?Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
UmetishaPia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Mechi na Fountain Gate lazima mnyama ajiangushe jamaa wajipigie kuliko kukutana na Yanga fainali CRDB , nimeona vyuma vimerudi dimbani kina Aucho!!Sakho mlimuuza bei gani? Hamkawii kugomea mechi nyie,safarii hii Zanzibar.
Nonda Shaban alikua yanga,yanga tangu 1970s wanauza wachezaji ulaya,manaraSamatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
We kweli HamnazoMechi na Fountain Gate lazima mnyama ajiangushe jamaa wajipigie kuliko kukutana na Yanga fainali CRDB , nimeona vyuma vimerudi dimbani kina Aucho!!
Nonda Shaban mlimuuza ulaya ipi? Hakuondoka yanga kwa kutorokea south yule?Nonda Shaban alikua yanga,yanga tangu 1970s wanauza wachezaji ulaya,manara