Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

Hiyo Barnley inacheza ligi gani huko England mkuu?
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonga Shaban? au Nonda Shaban.Hapo umechemka.
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonda SHABANI hajawahi kuwa Kolo
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Nonga shaban ndio mchezaji gani,makolo mbona mnapenda kumpa pointi rage kizembe namna hii!
 
Ngoja sasa nifuatilie taarabu toka kwa Makolo...
 
Samatta katokea Mazembe
Nonda Shaban hakuwahi kucheza umbumbumbuni
Sakho hakuuzwa mkataba uliisha
Muambie tu Nonda alicheza Yanga sio ukoloni...

Hata hivyo arudie tena kusoma tena. Hao aliowataja, wanafikia robo ya mauo ya Azizi??
 
Waambie! Waambie.
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Watoto wa 200 hawezi kukuelewa Kuna samarta wa simba kacheza EPL
 
Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Tukutane June 15
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Timu aliyoenda sakho ni sawa na kucheza ligi ya mkoa hapa Tz.
 
Kakimbia umoja wa vikundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…