Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

Muambie tu Nonda alicheza Yanga sio ukoloni...

Hata hivyo arudie tena kusoma tena. Hao aliowataja, wanafikia robo ya mauo ya Azizi??
Hakuna anaejua mauzo ya aziz ki zaidi ya viongozi na wamefanya siri, mtoa mada athibitishe hiyo 2.5b ameitoa wapi?
 
Wydad wameingia cha kike.....Wamechukua chezaji limeshachoka na kuzeeka...
 
Mpaka Ki Aziz anaondoka, hakuna page yoyote Yanga iliyosema kauzwa shilingi ngapi. Ila hofu yangu, isije ikawa kalazimisha kuondoka kuogopa aibu ya Simba Mabingwa w Shirikisho!
 
Mpaka Ki Aziz anaondoka, hakuna page yoyote Yanga iliyosema kauzwa shilingi ngapi. Ila hofu yangu, isije ikawa kalazimisha kuondoka kuogopa aibu ya Simba Mabingwa w Shirikisho!
Bei ya kuuza huwezi kuambiwa wewe Kajambanani
 
Hakuna wakutoa billion tatu kununua ilo garasa la kisambaa
 
sapong aliuzwa china bil 20 🤣 🤣 andika apo
 
Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Mliwauza kwa bei ya vitunguu na nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…