Ndio hayo mliyokuwa mnaturingishia medali na kutuambia tuwalipe kwa kufika fainali kama nyie haya kiko wapi sasaWatu wanaongelea vitu vya maana wewe unasema final ya mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Yanga ilicheza CAFCC iliyokuwa na timu bingwa kutoka mataifa YaoNdio hayo mliyokuwa mnaturingishia medali na kutuambia tuwalipe kwa kufika fainali kama nyie haya kiko wapi sasa
Muombe Pdidy akuchomeke mwiko ukae vizuri huko nyumaWewe mwenyewe uliuzwa Kwa Pdidy Kwa elfu 20
Huyu Nongwa Shaaban alicheza Simba lini?Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Kanoute.Samatta, pape sakho, henry joseph, chama, miquisson, nonga shaban, okwi na wengineo wengi. Kwa simba ni kawaida kwa yanga ni kigeni ndio maana makhalio yanawawasha.
Kabla ya Mazembe alitokea wapi?Mazembe
Unataka tuishie wapi,simba au mbagala market?Kabla ya Mazembe alitokea wapi?
Tim zinazo shirk klab bingwa ya Dunia zimepewa ruhusa ya kusajili kabla ya dirisha la usajiliYanga hii hii yenye michezo mikubwa miwili na simba ingemuachia kiwepesi hivi?? Jamaa kaondoka huru
Mayele hakuwa mchezaji wa yanga waliopata Hela ni manyema ni sawa na baleke au max auzwe hakuna kitu yanga wanapataYanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi
Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400,
Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa
Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2
Aziz ki anaenda kucheza world cup ngazi ya vilabu
Pia Wydad wanahitaji huduma ya Mzize Kwa billion 3, ila Mzize mwenyewe anafikiria offer ya Barnley ya England pia Olympiqie Mairseille ya France
Pia kumbuka Yanga walitengeneza kiasi kikubwa cha pesa Kwa kumuuza Mayele kwenda Pyramid
Kituko Kwa mtani anayecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA hakuna mchezaji anayeuliziwa sokoni
Mpanzu alienda majaribio Belgium timu daraja ya 4 akashindwa kutoka na udumavu na lishe mbovu
Pia Kibu alitoroka kwenda Norway wakagundua akili zake na mambo ya soccer ni haviendani
Kila la heri Aziz ki
Wew mayele hakuwai cheza manyema alitika As vita club na kwa nin yanga isipate Hela kwa mchezaj wake? Lete ushahidMayele hakuwa mchezaji wa yanga waliopata Hela ni manyema ni sawa na baleke au max auzwe hakuna kitu yanga wanapata
Huyu alichezea Simba mwaka gani, aliuzwa kwenda timu gani, raia wa nchi gani?nonga shaban
Pumbavuu wadanganyeni watoto wenu lete takwimu za hizo timu au unataka nikuwekee hapa, katika timu zote mlizocheza nazo ninyi hakukuwa na bingwa hata mmoja kwenye ligi zao kwa msimu ule hata huyo usm alger hakuwa bingwa, na tena timu nyingine mlizocheza nazo zilikuwa zinashuka daraja ilihali simba kacheza na timu zilizopo top four kwenye ligi zao na huyu berkane msimu huu kachukua ubingwa wa ligiYanga ilicheza CAFCC iliyokuwa na timu bingwa kutoka mataifa Yao
Hii UMISETA imejaa timu mbovu za Simba na Coast union
Sasa mazembe sio timu kubwa kwa samata.Samatta katokea Mazembe
Nonda Shaban hakuwahi kucheza umbumbumbuni
Sakho hakuuzwa mkataba uliisha
Haozk bangeYanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi