Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

Team bora iache kutoka kwenye CAF champions league ije huku kwenye confideration😃😃😃😃

Yanga kaingia kwenye kwenye kinyanganyiro kutokana na mafanikio yake ila hawezi kuchukua msijisahaulishe hilo mlishindwa kutoboa makundi ya champion
 
Wanapiga kura mtandaoni au kamati itakaa na kutea jina la timu moja?
 
Team bora iache kutoka kwenye CAF champions league ije huku kwenye confideration😃😃😃😃

Yanga kaingia kwenye kwenye kinyanganyiro kutokana na mafanikio yake ila hawezi kuchukua msijisahaulishe hilo mlishindwa kutoboa makundi ya champion
Sasa walioyoboa makundi champion mbona hawapo? ni kwa nini?
 
Yanga hatupati hata tuzo moja.

Kura zitapigwa nyingi sana lqkini matokeo hayawezi kuwa upande wetu.

Huwezi kushindana na Ahly .
Huwesi kumshinda Onana.
 
Back
Top Bottom