Yanga ni mbovu

Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
Sio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.

Unasema Yanga ame stepdown lakini jana Yanga katengeneza nafasi nyingi za wazi kuliko Azam
Yanga kapiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Azam sasa hiyo stepdown Iko wapi?
 
Vingeleza vingi vya nini leta takwimu, onyesha timu gani ni bora kwa numbers sio maneno tu kama unaimba singeri
bayern Munich is great In papers. but they are sloppy . kwaiyo numbers sometimes don't reflect reality. yanga played terribly. sema watu wanakaza kichwa. azam angeua game mapema
 
this time mambo ni serious. yanga is in a bad position to play champions league. yanga are not ready
 
games approach was pure luck and individualism. kama psg .
 
bayern Munich is great In papers. but they are sloppy . kwaiyo numbers sometimes don't reflect reality. yanga played terribly. sema watu wanakaza kichwa. azam angeua game mapema
Kilicho mfanya Azam asiue game mapema nini?
 
Jibu mujarrabu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ikipata matokeo taabu isipopata matokeo taabu. Shida tupu

Hongereni wanayanga kwa matokeo ya mechi ya jana na Azam
 
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY

Chukua form ya ukocha basi
 
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Kocha hatufai, aondoke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…