Yanga ni mbovu

Yanga ni mbovu

Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
Sio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.

Unasema Yanga ame stepdown lakini jana Yanga katengeneza nafasi nyingi za wazi kuliko Azam
Yanga kapiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Azam sasa hiyo stepdown Iko wapi?
 
Vingeleza vingi vya nini leta takwimu, onyesha timu gani ni bora kwa numbers sio maneno tu kama unaimba singeri
bayern Munich is great In papers. but they are sloppy . kwaiyo numbers sometimes don't reflect reality. yanga played terribly. sema watu wanakaza kichwa. azam angeua game mapema
 
Sio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.

Unasema Yanga ame stepdown lakini jana Yanga katengeneza nafasi nyingi za wazi kuliko Azam
Yanga kapiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Azam sasa hiyo stepdown Iko wapi?
this time mambo ni serious. yanga is in a bad position to play champions league. yanga are not ready
 
Kwa nilivyoona mimi:
Kipindi cha kwanza Yanga hawakucheza ule mpira wao wa high pressing bali walikuwa wanacheza kwa kukaba mianya katika eneo lao, walifanya hivyo pengine kwasababu ya waliiheshimu Azam. Na ukizingatia Azam ina wachezaji wenye vipaji wanaweza kupunguza mtu, wanaweza kukaa na mpira, kupiga pasi, control nzuri ya mpira na spidi hivyo unapoamua kukaba lazima ukabe kwa akili. Plan hii, Yanga waliingia kwa kuwaacha Azam wacheze halafu Yanga wakiwin mpira waende kushambulia kwa kasi.

Game approach hii ndio iliyowapa goli la kuongoza, na kuna mipira kadhaa ilikuwa ni ya kutengeneza mashambulizi ya kustukiza lakini Mzize na Dickson Job walikuwa wanashindwa kuwa na msaada wa kujenga hayo mashambulizi na kufanya mipira ipotee kirahisi. Mchezo wa jana ulimuhitaji sana Yao Kwasi kwasababu ni mtu pekee ndani ya Yanga anafanya kazi zaidi ya moja kukaba, kutengeneza mashambulizi, ku assist na pia hata kufunga. Magoli ya leo ni makosa ya kiulinzi captain leo hakuamka vizuri sana

Kipindi cha pili baada ya Yanga kufungwa goli la pili, Yanga ndipo wakarudi katika mpira wao wa high pressing na kucheza kwa kasi jambo ambalo liliwapa Azam ugum maana kila muda watu wamepora mpira wapo golini kwako, hadi kupeleka Yanga kupata magoli mengine mawili. Yanga wakaendeleza aina ya mpira wa kasi na kuwin mpira kwa haraka jambo ambalo liliwavuruga Azam na kuruhusu mashambulizi ya hatari zaidi huku Max akikosa nafasi mbili za wazi za kuwaua kabisa Azam. Mpira mmoja umemlenga kipa na mwingine kapiga pembeni na lango.
games approach was pure luck and individualism. kama psg .
 
Shika hamsini zako..maisha yangu hayakuhusu...bando hununui wewe...yani kiufupi take ur time...usinipangie cha kufanya.....mpangie sheria mkeo...ww unaeweza mpira unacheza namba ngapi? Kwani hapa tunacheza au tunatoa maoni yetu?? Katazeni wanawake basi wasiingie viwanjani au wasicheze mpira wa miguu...hakuna kitu unachojua wanawake wasijue..ficha ujinga wako...
Jibu mujarrabu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ikipata matokeo taabu isipopata matokeo taabu. Shida tupu

Hongereni wanayanga kwa matokeo ya mechi ya jana na Azam
 
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY


Chukua form ya ukocha basi
 
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Kocha hatufai, aondoke tu.
 
Back
Top Bottom