Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Are you sure?Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you sure?Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
Sio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
Labda stepdown transformaSio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.
Unasema Yanga ame stepdown lakini jana Yanga katengeneza nafasi nyingi za wazi kuliko Azam
Yanga kapiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Azam sasa hiyo stepdown Iko wapi?
bayern Munich is great In papers. but they are sloppy . kwaiyo numbers sometimes don't reflect reality. yanga played terribly. sema watu wanakaza kichwa. azam angeua game mapemaVingeleza vingi vya nini leta takwimu, onyesha timu gani ni bora kwa numbers sio maneno tu kama unaimba singeri
this time mambo ni serious. yanga is in a bad position to play champions league. yanga are not readySio kirahisi namna hiyo maana huu utabiri kila mwaka mnasema tu Yanga hafiki hapa mara hashindi hapa.
Unasema Yanga ame stepdown lakini jana Yanga katengeneza nafasi nyingi za wazi kuliko Azam
Yanga kapiga mashuti mengi yaliyolenga goli kuliko Azam sasa hiyo stepdown Iko wapi?
veryAre you sure?
games approach was pure luck and individualism. kama psg .Kwa nilivyoona mimi:
Kipindi cha kwanza Yanga hawakucheza ule mpira wao wa high pressing bali walikuwa wanacheza kwa kukaba mianya katika eneo lao, walifanya hivyo pengine kwasababu ya waliiheshimu Azam. Na ukizingatia Azam ina wachezaji wenye vipaji wanaweza kupunguza mtu, wanaweza kukaa na mpira, kupiga pasi, control nzuri ya mpira na spidi hivyo unapoamua kukaba lazima ukabe kwa akili. Plan hii, Yanga waliingia kwa kuwaacha Azam wacheze halafu Yanga wakiwin mpira waende kushambulia kwa kasi.
Game approach hii ndio iliyowapa goli la kuongoza, na kuna mipira kadhaa ilikuwa ni ya kutengeneza mashambulizi ya kustukiza lakini Mzize na Dickson Job walikuwa wanashindwa kuwa na msaada wa kujenga hayo mashambulizi na kufanya mipira ipotee kirahisi. Mchezo wa jana ulimuhitaji sana Yao Kwasi kwasababu ni mtu pekee ndani ya Yanga anafanya kazi zaidi ya moja kukaba, kutengeneza mashambulizi, ku assist na pia hata kufunga. Magoli ya leo ni makosa ya kiulinzi captain leo hakuamka vizuri sana
Kipindi cha pili baada ya Yanga kufungwa goli la pili, Yanga ndipo wakarudi katika mpira wao wa high pressing na kucheza kwa kasi jambo ambalo liliwapa Azam ugum maana kila muda watu wamepora mpira wapo golini kwako, hadi kupeleka Yanga kupata magoli mengine mawili. Yanga wakaendeleza aina ya mpira wa kasi na kuwin mpira kwa haraka jambo ambalo liliwavuruga Azam na kuruhusu mashambulizi ya hatari zaidi huku Max akikosa nafasi mbili za wazi za kuwaua kabisa Azam. Mpira mmoja umemlenga kipa na mwingine kapiga pembeni na lango.
Sawathis time mambo ni serious. yanga is in a bad position to play champions league. yanga are not ready
Kilicho mfanya Azam asiue game mapema nini?bayern Munich is great In papers. but they are sloppy . kwaiyo numbers sometimes don't reflect reality. yanga played terribly. sema watu wanakaza kichwa. azam angeua game mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda stepdown transforma
Jibu mujarrabu kabisaShika hamsini zako..maisha yangu hayakuhusu...bando hununui wewe...yani kiufupi take ur time...usinipangie cha kufanya.....mpangie sheria mkeo...ww unaeweza mpira unacheza namba ngapi? Kwani hapa tunacheza au tunatoa maoni yetu?? Katazeni wanawake basi wasiingie viwanjani au wasicheze mpira wa miguu...hakuna kitu unachojua wanawake wasijue..ficha ujinga wako...
azam ni kikundi cha wahuni. ila this game was a draw. yanga fell offKilicho mfanya Azam asiue game mapema nini?
Timu ikifungwa na Yanga inakua mbovu, ikiifunga Yanga wanajuaazam ni kikundi cha wahuni. ila this games was a draw. yanga fell off
wote wabovuTimu ikifungwa na Yanga inakua mbovu, ikiifunga Yanga wanajua
Wewe ulitakaje? Embu toa maoni yako kimbinu na kiufundigames approach was pure luck and individualism. kama psg .
Hatimae umetoa kichwa ulikua unajifichawote wabovu
Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told
PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Kocha hatufai, aondoke tu.Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told
PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
check my previous threadsHatimae umetoa kichwa ulikua unajificha