Yanga ni mbovu

Yanga ni mbovu

Gamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told

PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Gamondi ni super coach , yanga imekosa namba 9 wa kumalizia wa style ya Fiston predator , mzinze na konkoni ni Wazito Kama Kifaru cha Israel merkava cha tani 70, ni heri kabisa Mara 1000 Moloko
Yanga ndiyo timu inayotengeneza nafasi nyingi Kwenye hii ligi Hata magoli yao unaona yanaanza kujengeka kuanzia mwanzo( build up).
Na Leo Yule njemba Anaitwa yao hakuwepo , jamaa ni defender na midfield kwa wakati mmoja !
 
Kwa ushindi wa kubebwa?
Wakati gamondi anaipokea yanga kutoka kwa nabi..kalibu robo 3 ya wachezaji ote walikua moto sana.
Lakini kwa miezi hii michache akitoa wachezaji nyota hata wawili tu..waliobaki ote utumbo. Hata hao wenye viwango kipindi hiki viwango naona kama vinashuka.
Mm nahisi kocha wa uimala wa mwili ajitathimini.
Wewe unahisi tatizo nini.?
Au bado huna mashaka na timu yako kwa tunakoelekea?
 
Mimi ni Yanga Lia Lia na Leo sikufurahishwa kabisa na ball tulilopiga!

Tukicheza hivi na Simba au Al Ahly tutapigwa nyingi! Wachezaji wa Yanga walikuwa wazito sana Leo, hatukupanga mashambulizi kama kawaida yetu! Hatukucheza kwa Ile Kasi yetu ya kuvuruga wapinzani, inabidi wachezaji wafanye mazoezi ya mbio! Tuliwaheshimu Azam kupita kiasi mpaka wakatufanya underdog! Yanga tulicheza slow slow mno na huu si Mpira wetu! Goli la kwanza la Azam lilikuwa la kizembe sana wachezaji wa Yanga hawakukaba kwa umakini. Nondo hakuwa kwenye form leo jamaa huwa hana maboko ya kizembe ya penati namna hii!

Wachezaji wa Yanga walipiga pasi nyingi mno zisizo makini, Zouzoua alizurura tu muda wote anapata mipira na hakuifanyia faida yoyote! Mzize Leo alifeli kabisa ila hakutolewa mapema , Leo Mzize alilazimisha kufunga goli tu hakutoa pasi hata pale wenzake walipokuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga. Mudathir alipwaya sana tangu mwanzo na hakutolewa mapema, Max alipoteza nafasi nyingi za wazi Leo alipuyanga tu!

Leo Pira GAMONDI halikuwepo tumeshinda kwa bahati tu.
 
Leta takwimu acha hisia
 
What is the basis of your conclusion that Gamondi will be sacked by February? They have scored almost 30 gials and conceded only three in open play.
Thus is the beginning of the season I am sure they will improve. No two games are the same. Even the best teams in the don't always pkay a beautiful game. The furst objective of any tesm us to win games. It doesn't matter the way you do it.
Please improve in your gramar or use a language
you are fluent in. English is not one of them.
 
Kuna watu sijui ndo mnafwatilia mpira kwa mara ya kwanza? Hivi timu inaweza cheza msimu mzima au mechi zote kwa kiwango kilekile? Au ndo kulaumu na ujuaji?
 
Yule jamaa ndo kapotea hivyo.
 
haha 😅, nothing wrong with my grammar, but everything is wrong with your English.
2. your optimistic but not realist. a spade call it, a spade not a big spoon.
 
Huwezi kuongea tu kwamba bad football bila kuongea facts. Chambua mechi, tuoneshe concerns zako zimebase wapi. Kinyume na hapo, fatisha ushauri wangu wa mwanzo kabisa, tafuta hobby nyingine, mpira sio kitu chako
pale nimemaliza, a complete football analysis. In few words. ukiweza translate in swahili. yanga amna timu. we are living off nabi era.
 
Mimi ni Yanga Lia Lia na Leo sikufurahishwa kabisa na ball tulilopiga!

Tukicheza hivi na Simba au Al Ahly tutapigwa nyingi! Wachezaji wa Yanga walikuwa wazito sana Leo, hatukupanga mashambulizi kama kawaida yetu! Hatukucheza kwa Ile Kasi yetu ya kuvuruga wapinzani, inabidi wachezaji wafanye mazoezi ya mbio! Tuliwaheshimu Azam kupita kiasi mpaka wakatufanya underdog! Yanga tulicheza slow slow mno na huu si Mpira wetu! Goli la kwanza la Azam lilikuwa la kizembe sana wachezaji wa Yanga hawakukaba kwa umakini. Nondo hakuwa kwenye form leo jamaa huwa hana maboko ya kizembe ya penati namna hii!

Wachezaji wa Yanga walipiga pasi nyingi mno zisizo makini, Zouzoua alizurura tu muda wote anapata mipira na hakuifanyia faida yoyote! Mzize Leo alifeli kabisa ila hakutolewa mapema , Leo Mzize alilazimisha kufunga goli tu hakutoa pasi hata pale wenzake walipokuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga. Mudathir alipwaya sana tangu mwanzo na hakutolewa mapema, Max alipoteza nafasi nyingi za wazi Leo alipuyanga tu!

Leo Pira GAMONDI halikuwepo tumeshinda kwa bahati tu.

Kwa nilivyoona mimi:
Kipindi cha kwanza Yanga hawakucheza ule mpira wao wa high pressing bali walikuwa wanacheza kwa kukaba mianya katika eneo lao, walifanya hivyo pengine kwasababu ya waliiheshimu Azam. Na ukizingatia Azam ina wachezaji wenye vipaji wanaweza kupunguza mtu, wanaweza kukaa na mpira, kupiga pasi, control nzuri ya mpira na spidi hivyo unapoamua kukaba lazima ukabe kwa akili. Plan hii, Yanga waliingia kwa kuwaacha Azam wacheze halafu Yanga wakiwin mpira waende kushambulia kwa kasi.

Game approach hii ndio iliyowapa goli la kuongoza, na kuna mipira kadhaa ilikuwa ni ya kutengeneza mashambulizi ya kustukiza lakini Mzize na Dickson Job walikuwa wanashindwa kuwa na msaada wa kujenga hayo mashambulizi na kufanya mipira ipotee kirahisi. Mchezo wa jana ulimuhitaji sana Yao Kwasi kwasababu ni mtu pekee ndani ya Yanga anafanya kazi zaidi ya moja kukaba, kutengeneza mashambulizi, ku assist na pia hata kufunga. Magoli ya leo ni makosa ya kiulinzi captain leo hakuamka vizuri sana

Kipindi cha pili baada ya Yanga kufungwa goli la pili, Yanga ndipo wakarudi katika mpira wao wa high pressing na kucheza kwa kasi jambo ambalo liliwapa Azam ugum maana kila muda watu wamepora mpira wapo golini kwako, hadi kupeleka Yanga kupata magoli mengine mawili. Yanga wakaendeleza aina ya mpira wa kasi na kuwin mpira kwa haraka jambo ambalo liliwavuruga Azam na kuruhusu mashambulizi ya hatari zaidi huku Max akikosa nafasi mbili za wazi za kuwaua kabisa Azam. Mpira mmoja umemlenga kipa na mwingine kapiga pembeni na lango.
 
Kuna watu sijui ndo mnafwatilia mpira kwa mara ya kwanza? Hivi timu inaweza cheza msimu mzima au mechi zote kwa kiwango kilekile? Au ndo kulaumu na ujuaji?
Kuna minor step back. ila jana yanga ilipotea. that was a big downgrade. yanga should be worried. they wont win a match in champions league.
 
Back
Top Bottom