Gamondi ni super coach , yanga imekosa namba 9 wa kumalizia wa style ya Fiston predator , mzinze na konkoni ni Wazito Kama Kifaru cha Israel merkava cha tani 70, ni heri kabisa Mara 1000 MolokoGamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told
PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
Yanga ndiyo timu inayotengeneza nafasi nyingi Kwenye hii ligi Hata magoli yao unaona yanaanza kujengeka kuanzia mwanzo( build up).
Na Leo Yule njemba Anaitwa yao hakuwepo , jamaa ni defender na midfield kwa wakati mmoja !