MO kunamajukumu mengi anayafanya Kama mshabiki wa Simba au kwa makubaliano maalum na uongizi uliopo madarakani kwa sasa.mfano usajiri,posho, bonas, mishahara n.k Tuchukulie MO hajitoi, anabaki Kama Share holder ajihusishi na Mambo yaliyofanywa nje ya mkataba wake yanayo husu mishahara, bonas, usajili n.k
Simba Kama klabu/kampuni ina bishara gani ambayo itaweza kuingiaza faida ambayo wataweza kugawa na shareholder wake? Mnapoitwa Wana Simba mbumbumbu si uongo ni uhalisia.
Majengo yote na Mali zote za Simba ambazo haziamishiki thamani yake hazizidi bilioni 4 alafu Mwekezaji aweke bilioni 20 ivi mnamwona MO mbumbumbu mwenzenu!!.
Gharama alizotumia MO mbaka sasa zinatosha kuwaambia Simba ni Mali yake. Uzuri wa awajamaa kila fedha anayokupa anaiwekea kumbukumbu. Nijambo la muda tu pale MO atakapo itaka Timu yake aibadili iwe ya kriket
au arudishiwe gharama alizotumia ku wakopesha kwa makubaliano maalum ambayo viongozi wanayafahamu uku wanachama hawayafahamu.