masozist
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 352
- 316
VP bilioni 20 amesha weka kwenye account ya simba?Mo alijitoaje?yule ni shareholder na alisema angeendelea kuwajibika kama mwana hisa. Tatizo huelewi kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VP bilioni 20 amesha weka kwenye account ya simba?Mo alijitoaje?yule ni shareholder na alisema angeendelea kuwajibika kama mwana hisa. Tatizo huelewi kitu
Yanga wanabahati ya kupata makocha wazuri ila shida ipo kwa wachezaji wanaosajiliwa ndio wabovu.Shida ya Yanga sio kwenye kusajili wachezaji, Bali kwenye kumsajili kocha.
Nawashauri Yanga sajilini Wachezaji mnaowaona wanafaa ila pia mtafute kocha anayeijua falsafa ya timu kama Mkwasa.
Tatizo lake ni wale 51% ambao ndani yake na tumbili wamo, serikali imo, TRA imo, TISS imo na Mzee Kaduguda aliyedai chapati zake alizowanunulia wachezaji. Unadhani MO ni mjinga wa kiasi hiko?VP bilioni 20 amesha weka kwenye account ya simba?
Mmh hapana, shida kubwa pale ni wachezaji, hawakuwa na viwango vya kuchezea yanga. Tukiacha ushabiki simba ana kikosi bora, ndo maana kila kocha anayeletwa anapata matokeo. Kocha huyo huyo ukimwamishia yanga kuwakochi kina Yipe, Molinga, Tariq n.k anachemsha mbaya.
Zahera alipewa hela usajili akaleta magarasa tupu, na timu ikaanza kwa kichapo licha ya matumaini kibao aliyowapa washabiki. Usisahau kuwa kile kikosi alichokuwa anapata matokeo (cha kina Makambo) hakikuwa chake, wale wachezaji aliwakuta wote
kama hujui au umesahau itapendeza ukakaa kimya, Makambo kaletwa na nani Yanga?Mmh hapana, shida kubwa pale ni wachezaji, hawakuwa na viwango vya kuchezea yanga. Tukiacha ushabiki simba ana kikosi bora, ndo maana kila kocha anayeletwa anapata matokeo. Kocha huyo huyo ukimwamishia yanga kuwakochi kina Yipe, Molinga, Tariq n.k anachemsha mbaya.
Zahera alipewa hela usajili akaleta magarasa tupu, na timu ikaanza kwa kichapo licha ya matumaini kibao aliyowapa washabiki. Usisahau kuwa kile kikosi alichokuwa anapata matokeo (cha kina Makambo) hakikuwa chake, wale wachezaji aliwakuta wote
Acha kujidanganya hizi sio zama za Serikali legevu mwambie ajaribu kufanya huo ujinga Kama hajaozea jela, yeye shareholder yake ni 49% na 51 ni za wanahisa wengine utasemaje siku ataidai Simba iwe yake tumia akili pia punguza matumizi ya hicho kilevi unachotumia kinakudhuruMO kunamajukumu mengi anayafanya Kama mshabiki wa Simba au kwa makubaliano maalum na uongizi uliopo madarakani kwa sasa.mfano usajiri,posho, bonas, mishahara n.k Tuchukulie MO hajitoi, anabaki Kama Share holder ajihusishi na Mambo yaliyofanywa nje ya mkataba wake yanayo husu mishahara, bonas, usajili n.k
Simba Kama klabu/kampuni ina bishara gani ambayo itaweza kuingiaza faida ambayo wataweza kugawa na shareholder wake? Mnapoitwa Wana Simba mbumbumbu si uongo ni uhalisia.
Majengo yote na Mali zote za Simba ambazo haziamishiki thamani yake hazizidi bilioni 4 alafu Mwekezaji aweke bilioni 20 ivi mnamwona MO mbumbumbu mwenzenu!!.
Gharama alizotumia MO mbaka sasa zinatosha kuwaambia Simba ni Mali yake. Uzuri wa awajamaa kila fedha anayokupa anaiwekea kumbukumbu. Nijambo la muda tu pale MO atakapo itaka Timu yake aibadili iwe ya kriket
au arudishiwe gharama alizotumia ku wakopesha kwa makubaliano maalum ambayo viongozi wanayafahamu uku wanachama hawayafahamu.
Upo sahihi ila pamoja na kupata hao makocha wazuri hawajui jinsi ya kuwatengeneza wawe na discipline ndani ya timu. Tuliona Zahera tukaja kwa Luc.Yanga wanabahati ya kupata makocha wazuri ila shida ipo kwa wachezaji wanaosajiliwa ndio wabovu.
Waliomfukuza kocha hawakujua kuwa kuna usajili unakuja?Akili zingine za ajabu Yanga bado hajapata kocha kwahiyo wasubiri wampate kocha ndipi wasajili mbona mambo ya ajabu wakae tu wamsubiri kocha sisi watu wa zamani baadhi ya wachezaji walikuwa wanasajiliwa na viongozi na kocha anawapokea hongera uongozi wa Yanga kocha atawakuta wachezaji waziri na yeye atawaunganisha