Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Kama msako wa maji haujasababishwa na ilani ya CCM.. Basi na kitakachompata YANGA SC lawama zote nitazitupa kwa ilani katili ya CAF kwa kutupangia mizigo mizito tusiyo na uwezo wa kuibeba.
 
hata farid
Hata Farid ndo ila kocha kama haoni. Yaank watu wengine aisee sijui wanafikiriaga nini. Mchezaji tokea apangwe hakuna cha maana alichokionesha lakini bado unamuweka kwenye mechi muhimu. Huyu kocha ana staili lawama za kutolewa na Al Hilal mpaka sasa. Upangaji wa timu ni ovyo kabisa

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
شكرا لك
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Ushindi mnono ndo kusudio letu na si vinginevyo.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani upooooooo???
 

Binafsi Sikutegemea Kumuona Kisinda Kwenye Lineup, ila Ngoja Tuone Mambo Yatakavyokuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…