Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Bangala
Juma Shaban
Aucho
Aziz Kii

Juma Shaban
Aucho
Azizi Kii
Mayele

Morison
 
Dakika 68'

Yanga 0-0 Club Africain

Morisooooon

Madhambi
 
Waarabu wameamua Sasa Kuna mtu anapega vyenga mpka kajipiga mwenyewe

Azizi mafunguo katoa ulimi nje
 
Unatakaje kumbe ikiwa hata kuvuka hizi hatua za awali ni mbinde, hivi unajielewa kweli? From nowhere tu unawaza hatua ya mwisho bila kupitia za chini?[emoji23]

Seriously, this is a mental case.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio akili za Utopolo wanafikiri itatokea tuu siku watapita kote mpaka fainal na kuchukua kombe..
 
Mabadiriko kwa Club Africain

Fransis anatoka
Hussein Bin Yahya anaingia
 
Sasa Nabi ndio anaingia uwanjani?
Hapa hukujua kama Nabi haiingii uwanjani?
Screenshot_20221011-093120.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi Nabi afanye mabadiliko kabla ya dkk 75
 
Back
Top Bottom