Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh! Bora kuwashangilia maveterani aisee.Mrembo unateseka bure. Hamia Simba chama kubwa au njoo utushangilie maveteran uone kabumbu safi.
Mpira gani mmecheza?Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
Mtanii, njooo nikupepeee upunguze pressure, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa. Lol.
Wenye akili wapo wawili Yanga yote.Kunguru akikunyea si kwamba ana shabaha mechi haijaisha hii, hawa tunawapelekea moto nyumbani kwao. Achaneni na makolo wachawi wakubwa hao
Anawaza Jani tyu 😂😂
Nyinyi mna nini kaisi kwamba kila mechi ya kimataifa inawakataa?Mtani Yanga tumecheza Mpira ni vile mechi imekataa, kama ww ni mtu wa mpira utaelewa ila kama ni shabiki basi
Mkuu Mimi simdai Nabi Chochote. Game imekataa, ningelalamika kama tungezidiwa au kufungwaSasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Kwikwikwikwikwi...Ushabiki wa bongo unatia hasira,huku kwenye kibanda watu wamelipuka utadhani Yanga kashinda 😂😂😂😂😂
Kuna mwaka tutavuna matunda ya chuki tunazopandikiza.
Kila deni huwa lazima lilipwe na riba juu.
Pata kwa mangi chochote, nakuja kulipa.Natamani watani washinde, lakini tatizo bado wana makamasi, hii michuano ya mikubwa hawaiwezi.
Natabiri ushindi kwa Yanga 0-0.
Kuna mtu analaaniwa hapo, yule aliyemshawishi kurudi.
Kweli kabisa Mkuu yaani Nabi Kimataifa amekuwa na mbinu mbovu mno aisee.Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Simba ina uchawi mwingi inairoga Yanga ili yenyewe iendelee kuwakilisha kimataifa, alisikika mlevi mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli lakini usiifananishe Kipanga na Yanga bana.kipanga walikaza hivi hivi tena suluhu ya bila kufungana, ila kilichoenda kuwakuta kule wanakijua wao.