Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Sina cha kudai wakata mauno kucheza na timu iliyokamilika na kutoa draw kuwalaumu ni kuwaonea. Hongereni yanga dancer
 
Team zinazojua kuutumia uwanja wa nyumbani.
IMG_20221102_180433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Mkuu Mimi simdai Nabi Chochote. Game imekataa, ningelalamika kama tungezidiwa au kufungwa
 
Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Kweli kabisa Mkuu yaani Nabi Kimataifa amekuwa na mbinu mbovu mno aisee.

Na mpaka tulipofikia anaonekana si wa kubadilika.
 
Back
Top Bottom