Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Ila inasikitisha sana Mtani.
Pole mtani
Unajua tatizo la Yanga ni pana sana. Linaanza na uongozi, upo kimaslahi zaidi ya biashara na kukosa weledi katika tasnia ya mpira. Pili uwekezaji kwa wachezaji ni mbovu kwani wachezaji waliopo pale ni wa kuisaidia Yanga kwa mechi za ndani wakibebwa na fitna za nje ya uwanja na usimba na uyanga. Tatu ni uwezo wa wachezaji na nne ni saikolojia, hawa wachezaji hawajaandaliwa kisaikolojia kujua kwamba hata wakikutana na Al Ahly ya Misri ni km wamekutana na Ihefu. Iweje Yanga amfunge Simba halafu akikutana na mwarabu anarukaruka tu?

Kwa uchache viongozi wabadilike kwanza.
 
huyu kisinda bora yanga ingekua timu ya riadha ila mbio zake hazina manufaa kwa timu yake.

wanaliza mashabiki tubhawana jipya
Mimi hilo nililijua mapema kaja kisinda kabadili mfumo Timu haichezi kwa kufunga wao ni pass tuu na kwenye hizo pass sio za uhakika muda wowote wanapokonywa na kuwa madhara kwao..
 
ukitaka kujua kwa nini mayele haitwi match za kimataifa congo, angalia michuano yake na match za nje,

usije kusema zalan maana wapo nchini kitambo sana na wanaendelea kuwepo.
 
ukitaka kujua kwa nini mayele haitwi match za kimataifa congo, angalia michuano yake na match za nje,

usije kusema zalan maana wapo nchini kitambo sana na wanaendelea kuwepo.
Acha majungu yaaanga sio size yenuu,yaaanga sio size yenuu*2😄😄🦁
 
tuna wajua Wala mihogotu hao wengine hawatuhusu
Je Vipi nao mikia fc wanaochochea tugombane Mara tumemfukuza kocha😄Tupo na Prof Sana,Hadi azma yetu ya ubingwa miaka Saba mfululizo itimie,na unbeaten angalao miaka mitatu🤸🤸🤸
 
Je Vipi nao mikia fc wanaochochea tugombane Mara tumemfukuza kocha😄Tupo na Prof Sana,Hadi azma yetu ya ubingwa miaka Saba mfululizo itimie,na unbeaten angalao miaka mitatu🤸🤸🤸
nyie pambaneni hapahapa ligi ya ndani ila nje kaeni chini mufundishwe hamjui kitu
 
Back
Top Bottom