Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Pole mtaniIla inasikitisha sana Mtani.
Unajua tatizo la Yanga ni pana sana. Linaanza na uongozi, upo kimaslahi zaidi ya biashara na kukosa weledi katika tasnia ya mpira. Pili uwekezaji kwa wachezaji ni mbovu kwani wachezaji waliopo pale ni wa kuisaidia Yanga kwa mechi za ndani wakibebwa na fitna za nje ya uwanja na usimba na uyanga. Tatu ni uwezo wa wachezaji na nne ni saikolojia, hawa wachezaji hawajaandaliwa kisaikolojia kujua kwamba hata wakikutana na Al Ahly ya Misri ni km wamekutana na Ihefu. Iweje Yanga amfunge Simba halafu akikutana na mwarabu anarukaruka tu?
Kwa uchache viongozi wabadilike kwanza.