Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Kadi ya njano inatolewa kwa mchezaji wa mbeya city baada ya kujibizana na refa
 
Yanga wamekuja kwa kasi zaidi katika kipindi hiki cha pili
 
Ibrahim kapiga shuti ambalo limelenga mashavu ya goli
 
Ila msimu huu Mnyama anakamiwa kuliko team yeyote ile
 
Kwa game hii Yanga wakishindwa bas itakuwa ni uzembe binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…