Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Kadi ya njano inatolewa kwa mchezaji wa mbeya city baada ya kujibizana na refa
 
Yanga wamekuja kwa kasi zaidi katika kipindi hiki cha pili
 
Ibrahim kapiga shuti ambalo limelenga mashavu ya goli
 
Back
Top Bottom