Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga anatikiwa apigwe kimoja ashtuke.
Ngoja tu usijari, we hata ukiangalia mazingira ya hapa jukwaani huoni dalili?

hawa unaowaona hapa ni wachache ila ngoja washinde utawaina fujo zao, saizi wanaupita huu uzi kwa mbali kama hawauoni

Na wakipigwa bao, hata hawa ambao tuko nao humu hutawaona tena

Wana umoja sana unaweza ukahisi wanaambizana
 
Mliopo karibu na Azam tv wambieni wapunguze matangazo baada half time ili tupate muda wa kutosha wa kusikiliza uchambuzi wa akina Ali Kamwe
 
Team leo haichezi vizuri usimulaumu peke yake
Yanga huwa inacheza vizuri kutokana viungo bora wakishirikiana Bangala na Aucho lakini Mauyo hawezi kuvaa viatu vya Bangala kwenye kiungo. Mauya na Brayson wapotezaji wakubwa wa mipira. Hata Farid naye Kuna muda anapatia wakati anazingua pia
 
Back
Top Bottom