Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Dida amekuwa bora sana, na saidoo kawa mshambuliaji hatari sana
 
Sijui huwa wanapiga mahesabu vipi, zinapotea Dakika 8 wanaongeza 3
Na hata saizi tangu zimeongezwa dakika 3 tayari zimeondoka dakika 5 na mpira hauendi halftime
 
Dakika ya 51 na mpira haujasimama kwenda halftime
 
Hawa mbeya city kipindi cha pili wakija na plan ya kuzuia wanafungwa
 
Dk 3 za nyongeza. Yeye anacheza dk 7. Sijui hawa marefa wanaugonjwa gani
Wakati zinaongezwa dakika 3 golikipa alikuwa chini anatibiwa, kwaio dak zinahesabika baada ya kuamka. Ila game imesimama sana hata izo dak 7 naona km vile chache
 
Back
Top Bottom