Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Hahaha maneno ya mbwembwe juu uko ngoja kina mwaisa wawaonyeshe watu wameshiba mbaraga we unachukulia poa
 
Hiinsasa ndo offside ila ile ya mwanzo ilikuwa na uwalakini
 
Onside mbili linesman anasema offside..


Tunahitaji kuinvent VAR yetu.
 
Mbeya city wamekosa goli lawazi kishenzi
 
Back
Top Bottom