Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Uzuri wa yanga wanajua ku switch, pale wanapoona upandw mmoja ni mgumu kupitisha mipira wanatafuta altenative.

saizi mipira yao inayopitishwa kulia pembeni imekuwa na mafanikio sana
 
Tanesco washafanya yao...hata hivyo niko pamoja na Mbeya city
 
Zawadi mauya kafanya attempt kwa kupiga shuti la mbali lakini dida anaunyaka mpira wake kiwepesi kabisa
 
Tanesco washafanya yao...hata hivyo niko pamoja na Mbeya city
Aise. Wewe TANESCO, mimi hawa Ndezi AZAM TV, eti kuabili kifurushi inachukua dakika ishirini. Yaani hii Nchi ina upuuzi mwingi. Eti nawapigia kajamaa kananifokea kudadeki
 
Ukuta wa mbeya city umeanzia kwenye box la yanga
 
Bangala kwenda pembeni leo hapa katikati hapajatulia kabisa.
 
Mayele haonekani yani hata kugusa mpira sijamuona
 
Leo kazi ipo! Waliwafunga simba hawa huku wakiwa pungufu!!
 
Moloko kapiga kona mbovu imetoka nje moja kwa moja bila kuguswa na mtu
 
Naamini leo simba watatuunga mkono kwenye kushangilia ili tuwalipie kisasi cha kufungwa na haka katimu, tena kakiwa na mchezaji mmoja pungufu.
 
Aise. Wewe TANESCO, mimi hawa Ndezi AZAM TV, eti kuabili kifurushi inachukua dakika ishirini. Yaani hii Nchi ina upuuzi mwingi. Eti nawapigia kajamaa kananifokea kudadeki
Next time piga *150*50*5#
Kuna menu itakuelekeza kutuma ujumbe wa kuwasha kisimbusi..
Azam TV
.Burudani kwa wote.
 
Back
Top Bottom