Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Jersy moloko alikuwa katika nafasi nzuri ya kufunga akasubiri mpaka akaribie na kipa ndio ashuti mwisho mpira umeokolewa na kuwa kona
 
Yanga imekoswa hapa bao kipa kaokoa
 
Nabi afanye sub mapema aweke kiungo Aucho na Bangala hiii mechi nyepesi ila itakuwa ngumu kutokana na approach tuliongia nayo
 
Hawa madogo wanaizidi yanga kwenye swala la mbio, yani mipira wakijitangulizia mara nyinginwao ndio wanaikuta na kutengeneza shambulizi
 
Kocha wa mbeye city kaweka na nne, wakati nabi huko mate yamemkauka
 
Dakika 11 ya mchezo, paka sasa mbeya city wameonekana bora zaidi na kulitia kashkashi lango la yanga
 
Hawa madogo wanaizidi yanga kwenye swala la mbio, yani mipira wakijitangulizia mara nyinginwao ndio wanaikuta na kutengeneza shambulizi
Hii mechi Yanga wamezidiwa na approach aliyokuja nayo Nabi ni mbaya. Mauya na Bryson mechi hii hawaiwezi.
 
Dakika 13' Mpira ni mzuri sana na timu zote zinashambulia ila mpaka saizi mbeye city kafanya mashambulizi hatari zaidi
 
Back
Top Bottom