Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Tunalipa Kisasi Leo, Hawa Mbeya Siye Walimbaka Na Kumtoa Bikra Demu Wetu Wakati Sisi Tulikuwa Na Malengo Nae, Watatueleza Leo Kwnn [emoji34]
 
Yanga Chama la wana endapo likishinda, limi droo au kufungwa ni chama la lawama
 
Mbeya city Chama kubwa, utopolo leo wanakaa mapema sana. Simba gufu moya
 
Mbeya city wameanza vizuri, dakika ya kwanza tu wamefika golini kwa yanga
 
Shambulizi la pili mbeya city inajaribu lakini mpira unaokolewa na kuwa kona
 
Roho yangu imeingia mashaka mechi ya leo baada ya kumuona brayson na Mauya
 
Hatari pale kwny lango la Yanga, mbeya city wanakosa goli la wazi pale. Simba gufu moya
 
Back
Top Bottom