Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Mbona sioni Yanga wakicheza kama wana yosifiwa??

Hakuna kitu
 
Yanga wanapoteza nafasi mbili za wazi double, ila dida amekuwa bora sana kuokoa mashambulizi pale golini
 
Pass zinapotea sana


Hii mbinu gani?
 
Wababe wa simba hawa! Leo lazima wakalishwe chini. Yanga siyo kama simba guvu moya! Yenyewe inajua kutembeza tu vichapo.
 
Mayele anajaribu kupiga shuti lakinindida anakaa vizuri na kuokoa shambulizi, lakini hata hivyo lilikuwa limelenga nje ya lango
 
Hivi huyu Bryson mnamuelewa jamani. Mbona anapoteza sana pasi?
 
Yanga wanajituma sana na wanafika golini sana
 
Kabla ya saido kuchezewa foul tayari kulikuwa na mchezaji mbele wa yanga aliyeluwa offside, lakini ndo hivyo makosa ya kibinadamu
 
Dakika ya 36 skiliza freekick na mpigaji ni saidoo
 
Haikuwa na madhara mpira umetoka na umekuwa wakurusha
 
Back
Top Bottom