Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Chico Ushindi umetunyima ushindi kudadek zako! Wakati mwingine usiwe mbinafsi. Lakini pia uwe na utulivu uwapo golini. Yaani wewe na golikipa, unabutua tu!! Aaaaargghhh!! [emoji31]
Ndo yule aliyetambulishwa kwa style ya kipekee?
 
Chico Ushindi umetunyima ushindi kudadek zako! Wakati mwingine usiwe mbinafsi. Lakini pia uwe na utulivu uwapo golini. Yaani wewe na golikipa, unabutua tu!! Aaaaargghhh!! [emoji31]
Muache nae afunge ili mtambue uwepo wake..aendelee kuwa mchoyo hivyo hivyo.
 
Huwa nahisi raha sana siku Yanga na Simba wakifingwa au kutoa sare maana huwa hizi timu zinaonewa Sana ..

Yanga na Simba wanabebwa Sana mbwa hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…