Dah! Leo kushinda ni majaliwa! Labda tuambulie sare. Naona simba wameikamia zaidi mechi kuliko Yanga.Yanga hata mshinde goli mia mechi haina mvuto
NakaziaKazi anayofanya Kanoute na mwili wake ni vitu viwili tofauti.kazi ngumu na kubwa alafu mwili mdogo kama Baba Ubaya.
Ndiyo kawaida yakeSakho anacheza sana na jukwaa