Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

[emoji81][emoji81]makolo pressure juu
1725268961.jpg
 
Hii mipira wanayookoa yanga afu hakuna mchezaji wa Simba, sielewi wanajipanga vipi.

Unakuta ni rahis kupigwa hata kaunta.

Haiwezekan kona inapigwa mpira unaokolewa nje ya 18 hakuna mchezaji wa simba wa kurudisha mashambulizi
 
Back
Top Bottom