Djuma na Aucho hawawezi kucheza game zenye pressure kubwa na hili limeonekana tangu mechi iliyopita, ni kama vile Chama tu.Morrison anavyomfanya Djuma Shaban mpk aibu
NakaziaSimba 3 Yanga 1
Mpaka sasa hakuna team inayocheza mpira unaoeleweka, labda tusubiri kipindi cha pili.simba huu uchezaji ni wa kifala sana
Nakazia#GuvuMoya
NakaziaSimba 2 Yanga 0. Mugalu, Sakho.
Bora umekuwa mkweli, wanasimba wengi hili hawalikubali.Simba msimu unaokuja tusifanye masihala kwenye usajili