Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yani utoe Morrison uingize mhilu?? Hebu acheni utani bwana.
 
Enonga beki nzuri ila anajitadi tu kumkaba ndugu yake mayele
 
Simba timu yangu but like amedhibiyiwa kabisa na Yanga.Hawana mashambulizi kabisa.Ni nn shida?
 
super BM asitoke anachotakiwa kufanya kocha ni kuongea naye kiutu uzima anaelewa yule super BM n mzuri sana akiacha utoto wake huwezi fananisha na Mhilu aisee
 
Kwa umri wa Aucho,Bangala na Saidoo na nafasi ngumu wanazocheza natumaini kipindi cha pili kuna pahala watapwaya hawa mababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…