Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Si tunataka kombe la ligi kuu....huko kimataifa hakuna timu ya tanzania itakayochukua ubingwa...Simba lini walichukua kombe lolote huko kimataifa?
 
Nyie si mna kioksi Bora Yani mmekosa hata shot moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa, ninyi Makolo si mmepata shuti 1 na mmeshinda, msimamo wa NBC PL ukwapi sasa pamoja na kukosa shuti hata 1 golini mwa MAKOLOKOLO [emoji848][emoji28]
 
Si tunataka kombe la ligi kuu....huko kimataifa hakuna timu ya tanzania itakayochukua ubingwa...Simba lini walichukua kombe lolote huko kimataifa?
Masindikazaji bora tu hayo ya Wanaume kwa zaidi ya miaka mi4 yote, wala hayana kombe lolote nnje ya nchi zaidi ya kujiita tu MAKOLOKOLO FC [emoji38]
 
Makolo mna kila sababu ya kushangilia hii droo, mlukuwa na hali mbaya
 
Uto ukimkaba Mayele wanaobaki wote wanageuka kikundi cha Wahuni
 
Tushukuru inonga yupo Simba angekuwa yanga si bure mashabiki wao wangetuma clip nyingi za kuahidi kumpa jicho na kumzalia watoto [emoji102]
 
Ila tuseme tu kwa ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Kama Utopolo wameshindwa kuifunga Simba hii yenye washambuliaji wazee basi tena. Inabidi wakikague vizuri kikosi chao au wavunje benchi la ufundi. Haiwezekani Simba hii ya akina Mhili, Kibu Denis na Bocco mzee na Kagere isifungwe na Yanga.
 
Eti msema kweli mpenzi wa Mungu. Teh teh.

Sasa Mtani nyie wana robo fainali wenye kombe la robo mnafungika kweli. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…