Hahahaa. Lol.Hata saivi sina mood
Hamna mchezaji pale maana SI mchezaji wa kumtegemea,anakiwango Cha kupanda na kishuka....haelewekiSakho anacheza sana na jukwaa
Ukiona mechi man of the match ni beki jiulizemchezaji wangu bora katika derby ya leo ni
Henock Inonga Baka. mtu katili sana kwa ma-foward wa utopolo.View attachment 2206487
Wao hawana haki ya kufunga?Ila tuseme tu kwa ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kama Utopolo wameshindwa kuifunga Simba hii yenye washambuliaji wazee basi tena. Inabidi wakikague vizuri kikosi chao au wavunje benchi la ufundi. Haiwezekani Simba hii ya akina Mhili, Kibu Denis na Bocco mzee na Kagere isifungwe na Yanga.
Furaha ingetimia tungewafunga leoHahahaa. Lol.
Hujazowea kwani? Sababu tangia ligi ianze si ndo nafasi yenu hiyo hiyo sasa mood inakosekanaje hapo Mtani?
Au mshawahi ongoza ligi kwamba leo tumewashusha chini. Teh teh.
Hivi nani alikuwa akipoteza mudaMakolo mna kila sababu ya kushangilia hii droo, mlukuwa na hali mbaya
Kapumzike sasa.Washakubali huko kwao hamna kitu. So waliyekuwa wanamtazama ni Mayele tu.
Yamekuwa hayo tena, huyu si aliimbwa sana wakati wa usajili, leo hii kawa mzigo?Juma Shabaan Kawa Mzito sana...! Na upande Wake ndo ulikuwa chocho la Kukatiza.
Si mlikuwa mnasema Jamaa yenu atatetema leo, mkapiga kelele hapaHongera Simba kwa point 3 muhimu katika mchezo wa Leo na kupunguza gape LA point katika msimamo
Vipi kuhusu Inonga?Kibwana Shomari anastahili kuwa Man of the Match. Sio tu aliweza kuwazuia Sakho, Morrison na Kibu Bali aliweza kunyang'anya mipira na kushambulia.
Wewe itakuwa mpira umesimuliwa au ulikuwa unasikiliza kwenye radio.Makolo mna kila sababu ya kushangilia hii droo, mlukuwa na hali mbaya
Aaaah kabisa.Kapumzike sasa.
Hata Kama Wanawasiliana Na Hakika Alikuwa Hafanyi Alichokuwa Anaambiwa, Nabi Hawezi Fanya Sub Za Kipuuzi VileNani kakwambia Kaze hawasiliani na Nabi jukwaani.
Hongera kwa kuchukua kombe la robo fainali kimataifa, nasikia mnacheza na Al Ahly Fainaili.Yamekuwa hayo tena, huyu si aliimbwa sana wakati wa usajili, leo hii kawa mzigo?
Ila kiujumla Yanga bado Kimataifa, inakata moto mapema..!