Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Kwani kulikuwa na mpango wa kumbakiza?? Siwezi kuilamu Simba Sc kwasasa baada ya ilichokifanya kwa miaka minne, nasubiri wakati wa usajili nione kama kama wapo serious.

Kuna fagio kubwa sana linatakiwa lipite hapo Simba Sc.
nakubali nakubali tena fagio la chumaa
 
Kipindi Cha Kwanza Yung Africans wataongoza kwa bao moja au zaidina litadumu au yatadumu kwa kipindi Cha kwanza,Simba watarudisha kwa kipindi Cha pili, hivyo matokeo sahihi yatakuwa droo ya eidha kufungana 1-1 ,au 2-2
Wewe ukizeeka utakuwa mwanga
 
Back
Top Bottom