wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Leo kapombe yupo hovyo sana. Sijui anawasiwasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubali nakubali tena fagio la chumaaKwani kulikuwa na mpango wa kumbakiza?? Siwezi kuilamu Simba Sc kwasasa baada ya ilichokifanya kwa miaka minne, nasubiri wakati wa usajili nione kama kama wapo serious.
Kuna fagio kubwa sana linatakiwa lipite hapo Simba Sc.
Attempts ngapi ngapi huko mkuu.Kama Wanachezewa nusu Uwanja hivi Yanga
Mtangazaji mwenye timu 🤣🤣
Nasikia Okwi amestaafu soka.Hmmh kwahiyo wakati Yanga anapigwa 5-0 enzi za kina Okwi, wewe ulikuwa wapi hiyo juzi?
Najua haukuniuliza mimi.
Wewe ukizeeka utakuwa mwangaKipindi Cha Kwanza Yung Africans wataongoza kwa bao moja au zaidina litadumu au yatadumu kwa kipindi Cha kwanza,Simba watarudisha kwa kipindi Cha pili, hivyo matokeo sahihi yatakuwa droo ya eidha kufungana 1-1 ,au 2-2
Sisi tumeshaanza kutafuta strikers wapya sokoni, kwa nyinyi mnaosema mko vizuri offensively ni lazima itushangaze kidogo.Nyie mnafika?
Mnapokea lini Boom?Nasikia Okwi amestaafu soka.