Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Mazuzu hawaamini kama Manywele alicheza hoo game, kikosi kilipaki basi muda sana
 
Yanga ni kikundi cha wahuni 😜😜🤣🤣
Screenshot_20220430-192332.jpg
 
Angekuwa Nabi Makambo Angeingia Nafasi Ya Moloko Na Kwa Nafasi Alizopata Nkane Makambo Angetupa Ushindi
Ni lazima kulikuwa na mawasiliano kati yake na kocha baada ya team kwenda mapumziko na hata walipokuwa jukwaani.

Kaze mnamlaumu bure tu.
 
Tuliwaambia muwe na akiba za maneno sababu mliimba taarabu sana kuwa mtamalizia hasira zenu kwa YANGA baada ya kupigwa kipigo kitakatifu na Orlando Pirates, kiko wapi sasa [emoji848][emoji23]
Kwani nani ambaye alikuwa anam praise Mayele humu kuwa lazima atatetema?

Mmesajili vibrator halfu hamna uhakika wa umeme unafikiri huo mtetemo mtaupatia wapi?

Ni hivyo tu hatupendi kuliongelea hili kwasababu tuna huzuni na sare hii
 
Jumlisha magoli yote ya MAKOLO wenu washambuliaji kisha uone kwanini Mayele ni Baba lao kwa kutetema [emoji28]
 
Ile kadi ya kipa was yanga ilikuwa ya kosa gani?Ya chizi tunajua kosa lake!
MAKOLOKOLO yamebebwa sana kwa kutopewa kadi nyingi tu za njano lakini YANGA ni BINGWA ndiyomaana walibidi wawavuruge kuwapa kadi hovyo hovyo ili wawaathiri kisaikolojia wafungwe na MAKOLO [emoji13]
 
Tuliwaambia muwe na akiba za maneno sababu mliimba taarabu sana kuwa mtamalizia hasira zenu kwa YANGA baada ya kupigwa kipigo kitakatifu na Orlando Pirates, kiko wapi sasa [emoji848][emoji23]
Hmmh, mmegeuka tena? Sio nyinyi mliokuwa mnatamba kuwa mtaichakaza Simba Sc na Mayele atatetema?

Kuna derby ambayo Simba Sc ilikuwa imekaa kimya kama hii?

Kubalini tu kuwa hamna team ya maana kama ambavyo mmekuwa mkiikuza. Sajilini, laasivyo mtatoka mapema tena kama mwaka jana maana sioni team ya kimashindano hapo.

Sisi tunayajua madhaifu yetu na tutarudi kivingine.
 
Back
Top Bottom