Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Sijawaigi kumkubali moloko sijui in peke yangu tu
 
31'

Mchezaji wa prisons anatolewa nje kupatiwa matiababu
 
32'

Prisons wanapata kona ya pili
 
Leo nikasema ngoja niangalie game ya congo fc,kumbe huyu mayele ndio mnamsifu mfungaji bora na ni mviziaji hivi..yaani huyu ndio akapambane kule ligi ya mabingwa...hebu acheni kuota..
Simba imefika robo fainali kwa mastraika wasiofikisha goli kumi kwenye ligi hilo pia umelifikiria?
 
35'

Kibwana shomari alikuwa yuko wenye eneo la hatari na mpira lakini beki wa prisons katoa mpira nje na kusababisha kona
 
36'

Moloko yeye na kipa lakini kapaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…