Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Wachrzaji wa Yanga naona wanatatizo la mentality, nilianza kuona tangu anapojiandaa kupiga mpira ametuonesha vitu vingi vya sirini ambavyo vinamsumbua
 
Mayele kapaza aiseee yani huwezi amini ndugu mtazamajinwa comments lakini habari ndiyo hiyo msela sijui kavaa dundo la namna gani yani yeye na kipa lakini kapaza
Mayele atafunga tu magoli maana kukosa penalty wamekosa hadi akina CR 7, Messi ndiyo iwe nongwa kwa Mayele [emoji848][emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
40'

Haya naye Feisla kapiga header offtarget tena hii alivyokosa ndio kajilaumu sana utafikiri kadondosha hela
 
41'

Feisal anafunga bao lakini linakataliwa kwakua alikuwa tayari yuko offside
 
Ila Yanga bhana! Sasa kulikuwa na sababu gani ya kumpa Mayele kupiga ile penati, badala ya Juma Shabani!

Ifikie wakati timu iwe serious bhana! Hakuna ulazima wa Mayele kuwa mfungaji bora! Ila kuna umuhimu kwa Yanga kupata point 3 muhimu kwenye kila mechi kuanzia sasa.
 
Mayele atafunga tu magoli maana kukosa penalty wamekosa hadi akina CR 7, Messi ndiyo iwe nongwa kwa Mayele [emoji848][emoji28]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ila mchizi hayuko poa mentality, we mcheki tu anapoanza kupiga mpira observe body language utaona kwamba mchizi ana mengi yanayomtatiza
 
Yanga wanacheza offside sana kama kle timu ya zanzibar kwenye kombe la mapinduzi
 
Zikiwa dakika 3 zimeongezwa Yanga anapata freekick hapa eneo la karibu na box
 
Saido kapiga frerkick lakini haujaleta madhara
 
Back
Top Bottom